價格:免費
更新日期:2019-05-29
檔案大小:6.4M
目前版本:1.3
版本需求:Android 4.1 以上版本
官方網站:mailto:sokaupdates@gmail.com
Email:http://dhckr.nunuaafrika.com/policy/
聯絡地址:P.O BOX 57 DAR ES SALAAM
Pata habari zote kali kuhusu MICHEZO kupitia APP hii ambapo inakuunganisha na habari zote kuanzia matokeo, misimamo ya ligi, usajili, achezaji, mechi na matukio muhimu yanayoendelea katika soka la Tanzania na ulimwenguni kote
Pamoja na Habari mbalimbali za MICHEZO za ligi za
• Barani Afrika
• Champions league
• Europa League
• English Premier League
• German Bundesliga
• Spanish La Liga
• French Ligue 1
• Italian Serie A
Na nyingine Nyingi kwa Lugha ya KISWAHILI